Tumia Dropbox katika kurahisisha kazi zako
Waandishi wa habari wafundishwa umuhimu wa ITC kwatika kazi zao.
Wakati akieleza umuhimu wa IT Information Technology BwanaJoseph Sekiku ambaye ni mkurugenzi wa Redio fadeco amesema kuwa endapo waandishi wa habari watatumia vizuri mtandao kwa kufanyakazi watarahisisha kazi zao.
IT kwa mujibu wa Bwana Sekiku hupunguza gharama kama za usafiri, kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine hivyo hupunguza unaskini kwa ujumla.
Hayo ni kwa uchache ambapo endapo mwandishi atataka kujua zaidi umuhimu IT nikupenda kusoma na kujiunga na mitandao mbalimbali kwa manufaa yake mwenyewe.
Moja wapo ni namna ya kutumia Blog katika kazi, Dropbox hii husaidia kujali mda kwani huatachi haraka na ku download haraka, Skype nimoja wapo ya mambo ambayo waandishi wa habari wamefundishwa pamoja na mengine.
Waandishi hao nikutoka redio Nne za jamii hapa nchini ambapo moja wapio ni O.R.S kutoka simanjio, Redio kahama kutoka kahama, Redio Sengerema kutoka Sengerema pamoja na wenyeji Redio Fadeco.
Waandishi wameshukuru shirika la UNESCO Tanzania kwakutoa mafunzo nakushauri mafunzo hayo ya endelee zaidi.
Uki bonyeza hapa chini utakuta Dropbox
Source jacksonmpare.com
0 comments:
Post a Comment