Thursday, 27 September 2012
Kagera ni moja ya mikoa inayoendelea kujaliwa fulsa za kitalii
07:06
No comments
Tanzania ni moja ya nchi inayoendelea kujaliwa mali asili nyingi za
kitalii, wazungu waliowengi hupenda kutembele nchi ya Tanzania kwa ajili
ya kujionea asilia ya mambo mbalimbali kama milima, mabonde, maziwa
pamoja na kuangalia maisha ya watanzania jinsi wanavyoishi, Na ndani ya
Tanzania kuna baadhi ya mikoa ambayo ilijaliwa kuwa na mambo mengi
yanayopendwa kuzuliwa na wenzetu, mfano mkoa wa Kagera ni mkoa ambao
ukiuangalia kwa asili yake its xo amazing, Lakini tatizo watanzania hili
hatuliangalii kama ni fulsa nzuri za kuweza kutumia Huu
ni mmoja ya (sijui niuite milma sijui niyaite mawe), lakini kama
unavyoweza kuona wazungu walivyopouz wakifurahia hewa nzuri ya kagera,
Mungu ibariki Kagera ,Mungu ibariki Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment