Sunday, 30 September 2012
MUNGU TUSAIDIE HILI BALAA LISITUFIKIE, SIKU ZA MWISHO
11:00
1 comment
A major news story broke on AOL and countless other mainstream news media outlets, this past week, that the Obama Health Care Bill
will require all U.S. citizens and babies to receive a microchip or
Medchip by March 23, 2013. Whether or not the microchip requirement in
the bill is implemented by 2013, remains to be seen.
In
2010, my book “Are You Ready for the Microchip?” was released, and I
asked the question, “Is the microchip implant hidden...
Friday, 28 September 2012
Unapoona umekula jiulize jirani yangu amekela nini?
03:18
No comments
Jana niliandika makala iliyokuwa inasema kuwa kwa nini hapa duniani kuna matabaka ya walio nacho na wasiokuwa nacho, Hivi ukingalia hii picha unajifunza nini? hawa ni mojawapo ya waathirika wa njaa nchini Soma...
Biashara ya ngono inavyoendelea kushamili mjini kampala
03:10
No comments
Waenga wanasema ukutaka kuelewa mji vizuri utembelee wakati wa usiku ,
hapo ndo utagundua kuwa hapa duniani kuna biashara ya aina nyingi, iliyo
alali na isiyo alaliKabalagala ni mojawapo ya sehemu maarufu sana hapa mjini kampala maarufu kwa wauza ngono.Hii picha imechukuliwa wakati wa usiku saa 9.40 ambapo wafanya biashara huanza kujikusanya kwa ajili ya kupata soko la uakika,Lakini
pia unapoona picha kama hizi mpenzi msomaji unapaswa kujiuliza...
Thursday, 27 September 2012
Ground Zero Pub in Wandegeya was yesterday night gutted by fire which destroyed properties worth millions of shillings. The fire reportedly broke out at 10:15pm when people had gathered to watch football .The fire is said to have started from the Managers office on the upper floor. Ground Zero Wandegeya on Fire By the time the fire brigade came to contain the fire, it had spread to Ownez bar and Kings sports betting offices however it was stopped from spreading to Barclays and Eco bank. Kings Sports Betting lost 15 slot machines each costing sh10 million. No deaths were recorded and only one person, a bouncer at the pub was injured during the incident. The fire brigade said that they could not assess the cause of the fire last night but they are set to visit the scene today morning to establish the cause.
08:14
No comments
Ground Zero Pub in Wandegeya was yesterday night gutted by fire which destroyed properties worth millions of shillings.
The
fire reportedly broke out at 10:15pm when people had gathered to watch
football .The fire is said to have started from the Managers office on
the upper floor.
Ground Zero Wandegeya on Fire
By
the time the fire brigade came to contain the fire, it had spread to
Ownez bar and Kings sports betting offices however it was...
JE UNAWAJUA HAWA
07:36
No comments
JE UNAWAJUA HAWA
Wanasema
uzuri liko katika macho ya beholder, lakini sisi wote wanakubaliana
kwamba kuna msingi viwango kwamba hawezi kuwa kujadiliwa kuhusu. Baadhi ya watu ni tu nzuri zaidi kuliko wengine. Leo, sisi kuangalia ambao Uganda mazuri celebrities kike ni.Wanaweza
kukidhi mahitaji yako yote lakini wao wana kitu maalum kuhusu wao
kwamba hutuma watu kuzungumza na kwamba ni miili yao. Kufurahia optically!Neema Nakimera...
MPANGO WA KITUO CHA REDIO CHA FADECO FM KUWABAINI WALEMAVU ZAANZA KUZAA MATUNDA
07:09
No comments
MPANGO WA KITUO CHA REDIO CHA FADECO FM KUWABAINI WALEMAVU ZAANZA KUZAA MATUNDA
...
KANUUMBA UMEACHA SIMANZI KUMBWA KWA WATANZANIA
07:09
No comments

KANUUMBA UMEACHA SIMANZI KUMBWA KWA WATANZANIA
TASWIRA MBALI MBALI ZA KUAGWA MAREHEMU STEVEN KANUMBA
Eneo katika makaburi ya kinondoni ambapo mwili wa marehemu Steven Kanumba unapumzishwa.
Polisi wa usalama barabarani na kazi ya ziada.
Watu walivyofurika kwa wingi.
Wengine juu ya miti.
Wasanii mbalimbali waliubeba mwili wa marehemu kutoka kwenye gari kuelekea sehemu maalum iliyotengwa kwa ajili ya kuagia.
Posted by DINA...
TUJIULIZE WENYEWE KWANZA
07:07
No comments

TUJIULIZE WENYEWE KWANZA
MASWALI YA KUJIULIZA WEWE MWENYEWE BINAFSI
Muda mwingi huwa tunapenda kuwauliza watu wengine maswali.Lakini mimi nitakuwa nakuletea maswalimatano yakujiuliza wewe mwenyewe binafsi.
1.Wewe ni nani?2.Unajipenda?kama ndio kwa nini kama sio kwa nini?3.Ni vitu gani muhimu katika maisha yako?4.Ni mafanikio gani unayojivunia katika maisha yako kwa sasa?5.Nini lengo lako duniani?kwa nini upo duniani?Kwa
...
Kagera ni moja ya mikoa inayoendelea kujaliwa fulsa za kitalii
07:06
No comments
Kagera ni moja ya mikoa inayoendelea kujaliwa fulsa za kitalii
Tanzania ni moja ya nchi inayoendelea kujaliwa mali asili nyingi za
kitalii, wazungu waliowengi hupenda kutembele nchi ya Tanzania kwa ajili
ya kujionea asilia ya mambo mbalimbali kama milima, mabonde, maziwa
pamoja na kuangalia maisha ya watanzania jinsi wanavyoishi, Na ndani ya
Tanzania kuna baadhi ya mikoa ambayo ilijaliwa kuwa na mambo mengi
yanayopendwa kuzuliwa na wenzetu,...
Wakati wa jioni Karagwe kunaonekana hivi.
07:05
No comments
Wakati wa jioni Karagwe kunaonekana hivi.
Ninapokuwa wilayani karagwe huwa navutiwa sana na mwonekano wake wakati
wa jioni, . My program site is in Kayanga town, in the Karagwe
district, of the Kagera region of Tanzania. It is one of the most remote
regions in Tanzania, and we are living in a rural community in the
mountains of the Northwest. We are situated between Rwanda to the West,
Lake Victoria to the East, and Uganda to the...
Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo
07:05
No comments
Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo
Ziwa victoria mkoani kagera ni moja ya kitu ambacho kinaeendelea kuupa
sifa kubwa mkoa wa kagera, Licha ya ya kuwa choombo mojawapo ya
kuwafanya wakaazi wa mkoa wa kagera kujipatia ajira pamoja na kitoweo
cha kila siku, Aidha watu kutoka nje ya nchi hupenda kuja mkoani kagera
kwa ajil ya kuanalia ziwa hili zuri sana lililozungukwa na magugu maji,
Pia ziwa vitoria wakati...
Subscribe to:
Posts (Atom)