Thursday, 27 September 2012
Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo
07:05
No comments
Ziwa victoria mkoani kagera ni moja ya kitu ambacho kinaeendelea kuupa
sifa kubwa mkoa wa kagera, Licha ya ya kuwa choombo mojawapo ya
kuwafanya wakaazi wa mkoa wa kagera kujipatia ajira pamoja na kitoweo
cha kila siku, Aidha watu kutoka nje ya nchi hupenda kuja mkoani kagera
kwa ajil ya kuanalia ziwa hili zuri sana lililozungukwa na magugu maji,
Pia ziwa vitoria wakati wa jioni huonekana like this
Pembeni mwa ziwa victoria kunavutia sana cos kuna milima iliyojaa kijani kibichi
Maoneo
ya hini mwa mlima huu pia hufaa kwa kilimo cha umwagiliaji kutokana na
madai ya wataalammu wa kilimo lakini pia kwa kuangalia kwa macho ya
kawaida, Lakini cha kushangaza ardhi ya hapa inaendelea kujirutubisha
yenyewe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment