Friday, 28 September 2012

Unapoona umekula jiulize jirani yangu amekela nini?

Jana niliandika makala iliyokuwa inasema kuwa kwa nini hapa duniani kuna matabaka ya walio nacho na wasiokuwa nacho, Hivi ukingalia hii picha unajifunza nini? hawa ni mojawapo ya waathirika wa njaa nchini SomaliaCaptured: Somalia FamineCaptured: Somalia Famine

0 comments:

Post a Comment