Thursday 27 September 2012

Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo

Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo

Ziwa victoria mkoani kagera ni moja ya kitu ambacho kinaeendelea kuupa sifa kubwa mkoa wa kagera, Licha ya ya kuwa choombo mojawapo ya kuwafanya wakaazi wa mkoa wa kagera kujipatia ajira pamoja na kitoweo cha kila siku, Aidha watu kutoka nje ya nchi hupenda kuja mkoani kagera kwa ajil ya kuanalia ziwa hili zuri sana lililozungukwa na magugu maji, 
Pia ziwa vitoria wakati wa jioni huonekana like this
Pembeni mwa ziwa victoria kunavutia sana cos kuna milima iliyojaa kijani kibichi
Maoneo ya hini mwa mlima huu pia hufaa kwa kilimo cha umwagiliaji kutokana na madai ya wataalammu wa kilimo lakini pia kwa kuangalia kwa macho ya kawaida, Lakini cha kushangaza ardhi ya hapa inaendelea kujirutubisha yenyewe.

0 comments:

Post a Comment