Friday 28 September 2012

Biashara ya ngono inavyoendelea kushamili mjini kampala



Waenga wanasema ukutaka kuelewa mji vizuri utembelee wakati wa usiku , hapo ndo utagundua kuwa hapa duniani kuna biashara ya aina nyingi, iliyo alali na isiyo alali

Kabalagala ni mojawapo ya sehemu maarufu sana hapa mjini kampala maarufu kwa wauza ngonoKla1.Hii picha imechukuliwa wakati wa usiku saa 9.40 ambapo wafanya biashara huanza kujikusanya kwa ajili ya kupata soko la uakika,

Lakini pia unapoona picha kama hizi mpenzi msomaji unapaswa kujiuliza hivi je wanawake tu ndo wanafanya biashara ya ngono au hata wanaume?Kla_KabalagalaWakati wa mcha katika mji mdogo wa kabalagala

0 comments:

Post a Comment