Saturday, 26 January 2013
Why Me, God?
16:19
No comments
Why Me, God? - A Common QuestionI'm sure you are asking, "Why me, God?" because something has happened that caused you to feel somehow singled out. Perhaps you feel that God must be punishing you for some reason. Why else would this be happening to you? Be assured. You are not alone. God has not abandoned you and He has not singled you out, no matter how you feel right now. Whatever you are going through, God's promise is that He will see you through and give you the strength and direction you need. God wants you to know that He understands how...
Saturday, 19 January 2013
When I think about Gods Love, I told my heart to not leave your servior
02:56
No comments

Nine people have died instantly in the Road accident, that occured late today in Bukoba town Tanzania
So what I want to mean, because all of us we know its accident, and it occurs ussually many people loose their life, but where are they going after dying, and its my hope that today you have used vehicle but you arrive saftely, so know that Jesus waiting with open hand to surrender your life.
My dear just ask your self why not...
Friday, 18 January 2013
Double life
12:23
No comments
UTANGULIZI
Mwandishi mmoja alimwuliza Bwana Yesu: Katika amri zote ni ipi iliyo kuu? (Mk. 12:28).
Bwana alimjibu: Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. (Mk. 12:29-30). Hicho ndicho kipimo cha utimilifu wa utii.
Tunapoamua kumfuata Yesu, hata hivyo, hatukamiliki kwa siku moja. Maisha ya wokovu ni safari; ni mchakato wa kukua kuanzia uchanga, utu uzima, hadi utimilifu wa Kristo. (1 Pt. 2:2;...
jE KUNA ULINZI WOWOTE KUTOKA KWA IBIRISI
12:07
No comments
Ulinzi Kutoka kwa Waganga wa Kienyeji
Naamini umeshasikia mara kadhaa watu wakitaja kile kinachoitwa “sayansi ya kiafrika”. Kwa kifupi maneno haya yanaongelea kazi za waganga wa kienyeji. Ni wazi kuwa yanamaanisha upigaji ramli, uaguzi, usafishaji nyota, na hata ulozi na mengine kama hayo.
Siku hizi watu wengi wanakimbilia kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kupata “mafanikio”, wakiwamo wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi, wake, waume, wapenzi, wachumba, wanamuziki, na hata wale wanaotaka kuwakomesha wabaya wao.
Ukipita sehemu nyingi,...
The revelation life
12:02
No comments
Maisha ya Maonyesho na Ubatili
Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?
(Yeremia 17:9).
Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake. (Wagalatia 6:4).
Katika somo lililopita nililoliita Nia ya Ndani ya Moyo niligusia kuhusu umuhimu wa kuwa makini na nia zetu pale tunapomwendea Mungu, maana Mungu anajali sana hizo nia ambazo ndizo zinazoamua endapo atayakubali maombi yetu au tutaishia kupata hasara.
Katika...
Ushuhuda wa Adelaida Juu ya Mbingu na Kuzimu
08:24
1 comment

Ushuhuda wa Adelaida Juu ya Mbingu na Kuzimu
Mwanamke mmoja kutoka Bolivia aitwaye Adelaida De Carrillo alipelekwa Mbinguni na Kuzimu na Yesu Kristo. Kule alionyeshwa ni Utakatifu gani anaotakiwa mtu kuwa nao ili aweze kuingia kwenye UFALME WA MUNGU, na pia ni dhambi gani (ambazo wengi wetu tunadhani kuwa ni ndogo), zinaweza kumfanya mtu aingie Jehanamu.
Tuko kwenye safari ya maisha ya kimwili hapa duniani tukielekea kwenye...
Subscribe to:
Posts (Atom)